Islamic Calender

Powered by Blogger.

ALICHOKISEMA MUFTI SHAABAN ISSA SIMBA

NB sorry kama kuna spelling mistake sababu nilikuwa naandika wakati akionge na nilikuwa na-note point muhimu tuu !


NATOA TAMKO HILI RASMI KWA WAISLAMU WOTE WA TANZANIA
1)……………………na pia
2) Natoa agizo kwa ; masheikh na maimamu, MAKHATIBU ,VIONGOZI WOTE WA DINI NA WAISLAMU KWA UJUMLA  tuvunje ukimya ,ukimya ufe tuseme !Tuseme kwa pamoja NA TUONDOE TOFAUTI ZETI , KWANI TUTASHINDA VITA HII YA MFUMO KRISTO TUKIWA WAMOJA ,TUKISEMA PAMOJA!  Wanaolaumiwa hivi sasa Tanzania  ni viongozi  waislamu kwa uislamu wao kwa mfano kila mwaka wanafunzi wanaferi sana ila kwa kuwa leo waziri wa elimu ni muislamu DR SHUKURU KAWAMBWA , maaskofu na chama chao cha siasa wamekuwa wa kwanza kudai waziri huyu ajiuzuri , Tuwe wamoja waislamu tulipofika hapana mwisho mwema kwetu ,sio tutukanane aaaanh , tuseme kwa sauti moja na kusahau tofauti zetu  ! misikiti yote iliseme hili ili waislamu ambao wanafuata mkumbo wajue pia ,wajue wanatumiwa na maslahi si yao ,tusiseme kimyakimya


3)MAHAKAMA YA KADHI NA OIC
   Sisi waislamu  tukiomba kitu kwa serikali ,  wa kwanza kuhoji na kukataa ni maaskofu
   Mahakama ya kadhi ni jambo letu sisi waislamu , kwanini maaskofu walisemee ? kwanini wakati sisi ni watoto wa baba mmoja ie Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , wakristo wameomba uwepo ubalozi wa Vatican , waislamu tukanyamaza nao wakakubaliwa . Leo hii wanadai kuanzishwa kwa mahakama ya Kadhi ni gharama kwa Serikali na kutumia visivyo kodi za watanzania, Basi kodi za waislamu zikusanywe na waislamu wenyewe na si serikali sababu hatuko ktk mpango wa serikali !
OIC ikaribishwe , hakuna haja ya kurumbana rumbana mfano:


4) KADHIA ZA NCHI YA KIISLAMU
    Mataifa yanayolea makafiri yamekusudia shari kwa nchi za kiislamu eg Saadamu alisingiziwa ana silaha za hatari na mpaka sasa bado hatujaiona hiyo silaha hata moja , na iraq haijawa shwari hadi hivi sasa!
Sasa ni ktk nchi zinazoongoza kwa kusaidia waislamu esp Ghadaf through WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY , naye anadhibitiwa kwa vikwazo ! Ghadafu ameisaidia sana jamii ya kiislamu esp tz na dunia nzima amejenga msikiti….. , , , tz na ….  sio kila kitu tunnanyamaza kisa kafanya mmarekani , hii si sawa.sisi waislamu watanzania  tunasema si sawa.

Huu ni msiba na unyama wa hali ya juu , maandamano ya kupinga ni tarehe 25 march 2011 ktk viwanja vya biafra


TAMKO RASMI KWA NIABA YA WAISLAMU WA TANZANIA
MWISHO Nalaani tendo la kuivamia Libya , si tendo la kisaarabu ,huu ni uhuni na wachache wenye interest zao
-         Naagiza waislamu wa tz tufanye qunut ili kuinusuru Libya na nchi nyingine , kila ijumaa na inshaallah….. !
-        
                     WAISLAMU TUSIDANGANYIKE
Anayehitaji CD ya tamko hili apige 0655 47 35 67

Sourec:Posted by Mwashabani Mrope via facebook.com on TANZANIA MUSLIM Group

Comments :

0 comments to “ALICHOKISEMA MUFTI SHAABAN ISSA SIMBA”

Post a Comment

 

Website Hit