Islamic Calender

Powered by Blogger.

UTANGULIZI

Bismillah Rahman Rahim

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu,Mwingi wa Rehema,Mwenye kurehemu

Kila sifa njema ni za mwenyezimungu kuniwezesha kufungua blog hii,

ingawa kwa uchache wa elimu yangu,lakini kwa vile nia yangu ya kutaka wanadamu wenzangu

wajue kidogo juu ya MAFUNZO YA KIISLAM,

Na ndio hii bidii  ninayo itia katika kuanzisha blog hii.


Pia namshukuru mwenyezi mungu kwani yeye ni Mmiliki w kilakitu,muweza asi

yewezwa ,

mshindi asiyeshindwa,msamehevu asiyekuwa na wa kumssamehe wala kukosolewa.yeye ni mkweli katika ahadi zake,


Na Pia Rehema na amani za MWENYEZIMUNGU(S.w) zimteremkie mtume wetu mtukufu,mbora wa viumbe na mtukufu wa daraja.


Ewe allah nakiri kuwa neema uliyonnijalia ni kubwa na haina kifani katika maisha yangu ya sasa na ya hata baadae.

katika jambo kubwa la kijivunia ni hali hii ya kuwa miongoni mwa walinganiaji wa kiislam pamoja na uchache wa elimu yangu.

Ewe Allah ninakuomba uadilifu utokao kwako na uthibiti wa mikono yangu utokana na ukweli wako.

Ewe Allah nakuomba unighufilie mimi na wazazi wangu na ndugu zangu wote na walio tangulia akhera.AMIN

 

Website Hit